Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Sakata la Miss Tanzania 2014 Sitti Mtemvu kudaiwa Baada ya issue ya Miss Tanzania 2014 Sitti Mtevu kuendelea kuchukua sura mpya kila inapoitwa leo kwenye Blogs,Facebook na hata Instagram sasa Baraza la Sanaa Taifa (Basata) limesema litamvua taji hilo mrembo Sitti Mtemve endapo itabaanika kuwa alidanganyo umri wake ili kuweza kushiriki katika mashindamo hayo

Maneno hayo yalizungumzwa na Katibu Mkuu wa Basata Geoffrey Mwingereza alipokuwa akizungumza na gazeti la nipashe aliujuza uuma kuwa wanafanya uchunguzi na pindi utakapo kamilika wakibaini kuna udanganyifu basi mrembo huyo atalivua taji hilo.

Pia gazeti la nipashe lilijaribu kumuhoji waziri wa mwenye thamana ambaye ni Naibu Waziri wa Wizara ya Michezo, Juma Mkamia ambaye yupo nje kwa ziara za kikazi na alijibu kama ifuatavyo 


“Siwezi kukuambia hatua gani zitachuliwa, ila kesho, (leo) tutakuwa na kikao , serekali haiwezi kukaa kimya , kuna vyombo vyake vinalifanyia kazi,”



Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top