Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Muonekano wa basi la najimunisa mara baada ya kupata ajali.




Basi la Najmunisa lililokuwa likitokea mwanza kwenda jijini Dar es salaam lilipata ajali mbaya jana usiku kwa kugongana na gari dogo eneo la Mbezi jijini dar es salaam
Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari hii, hakukuwa na vifo bali abiria walijeruhiwa na kupelekwa hospitali kwa matibabu zaidi
Kufuatia ajali hiyo polisi walilazimika kuwatimua baadhi ya watu waliokuwa na lengo la kukwapua mali za majeruhi hao ambapo kibonajoro inalaani kitendo hicho ambacho si cha kiungwana hata kidogo


Picha na Eddy Blog
 Bonyeza Hapa like ukurasa wetu wa facebook

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
06 Oct 2014

Post a Comment

 
Top