Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu amedai kwamba sakata la binti yake, Sitti Mtemvu, kudaiwa kuchakachua umri linachochewa na wapinzani wake wa kisiasa ndani ya CCM. Mtemvu alisema hayo wakati alipokuwa anamtetea binti yake ambaye amedanganya umri ili aweze kushiriki mashindano ya Miss Tanzania. Binti yake huyo anadaiwa kuwa kijeba lakini aligushi cheti cha kuzaliwa ili kupunguza umri uliomwezesha kushiriki mashindano ya u-miss.
Chanzo: Clouds Radio
MAONI YANGU
Waliozoea kuishi kwa uongo ukweli hawauwezi - Tundu Lissu.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment