Kundi la uchekeshaji la Orijino Komedi limenunua na kuwakabidhi
wasanii wake nyumba saba zenye thamani ya shilingi milioni 840 ambapo
kila nyumba moja ilinunuliwa kwa thamani ya shilingi milioni 120.
Seki akikabidhiwa nyumba yake
Kundi hilo limeweka picha za nyumba hizo kwenye akaunti yake ya Instagram na kuandika:
“ItsOfficialNw Bwn Mseli Abdallah-Planning & Investment Manager
wa NSSF akimkabidhi @jotimdebwedo Joti funguo ya nyumba yake mpya kati
ya nyumba 7 zilizonunuliwa na @orijinokomedi toka mradi wa NSSF kwaajili
ya wasanii wake. Kila nyumba ina thamani ya zaidi ya Tsh 120M.
Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi
Post a Comment
Post a Comment