Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Brazil imeichapa Japan 4-0 katika mchezo wa kirafiki uliochezwa Singapore. Mabao yote manne yamefungwa na Neymar ambaye sasa amefikisha mabao 40 kwa timu yake ya taifa. Wafungaji bora wa Brazil ni: Pele - 77

Ronaldo - 62
Romario - 55
Zico - 48
Neymar - 40
Bebeto - 39
Bonyeza Hapa


Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top