Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Usiku wa Jana Pale mlimani City Palikuwa na Fainali za Mashindano ya Miss Tanzania 2014 na Taji likachukuliwa na Mrembo Sitti Mtemvu …
Leo Asubuhi Mitandoni zimejaa Habari Kuwa Miss huyo Kapendelewa na pia Hafai kutwaa Taji hilo na wengi wakilalamika ilikuwa imepangwa kwa kuwa baba yake ni mbunge…
Jamani Embu Tujuzeni kwa wanao jua ..maaana huko Insta ni Shida balaaaa…
Kwa Mfano Martin Kadinda Kaandika Hivi Instagram:


Daaaaah…  kufanya mazuri Zaidi Ya waliopita ila Kwangu wewe hapana….Anko Ludenga nakukubali Sana ila Kwa hili am not ur side!! sitti am not hating but Kwa upande wangu hapana.. I just wish u all the best Kwa majukumu yako And ukatuwakilishi vizuri maybe unaweza Ukimind poa ila sio wote huwa tunakubaliana na matokeo…. Matusi noo Kwa my page.. Ukitukana nakublock” 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top