Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This



http://www.baabkubwamagazine.com/wp-content/uploads/2014/08/MAIMATHAaa.jpgMtangaziji wa kike ambaye sasa anapiga kazi katika kituo cha Redia E Fm cha jijini Dar Maimatha Jesse 'Mai'hivi karibuni alifichua siri ya kuwa na mafanikio nje ya utangazaji kuwa ni biashara ya nyeti bandia za kiume na kudai kwamba zinalipa.
Bila wasiwasi,Mai alitoboa siri kwamba bishara hiyo ilimpatia pesa nyingi kutokana na wanaume wengi kuwa na matatizo ya nguvu za kiume na kushindwa kuwaridhisha wapenzi wao hivyo kuwafanya kutumia nyeti hizo.

Alisema nyeti bandia zinazolipa ni zile zinazotumia umeme na zenye mitetemo.

Mtangazi huyo alisema hata hivyo alifanya biashara hiyo kabla ya kuolewa huku akishindwa kueleza kama bada anaendelea kuifanya au la.
"Ilikuwa ni harakati tu za kutafuta maisha.kifupi iliniingizia pesa ya kutosha sana.Hata hivyo nimeamua kurejea katika fani yangu ya utangazaji upya.Naomba mashabiki wanipokee kwani natarajia kufanya maajabu katika kipindi changu kipya cha Khanga"alisema

Bonyeza Hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top