March 21, 2025 04:19:22 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Jeneza lenye mwili wa baba yake Single Mtambalike ‘Richie’ likiombewa dua kabla ya mazishi leo katika Makaburi ya Segerea Dar.
Waombolezaji wakielekea katika Makaburi ya Segerea Dar.
Msanii wa Bongo Muvi, Haji Adam 'Baba Haji' (katikati) akiwa na msanii wa kitambo wa maigizo, Raymond Allen 'Bishanga Bashaija' (kulia) wakiwa Makaburi ya Segerea Dar.
Msanii Mrisho Mpoto (wa pili kutoka kushoto) na Banana Zorro ( wa tatu kutoka kushoto) wakiwa msibani.
Richie Mtambalike akiwa na rafiki yake wa siku nyingi msanii Raymond Allen 'BishangaBashaija' (kulia).
Mazishi yakiendelea katika Makaburi ya Segerea Dar.
Msanii Richie akitoka kaburini kumzika baba yake.
Baadhi ya wasanii wa Bongo Muvi wakiwa msibani, Rose Ndauka (kushoto), BrendaMarembeka 'Kunguru' (katikati) na Jacqueline Pentezel 'Jack wa Chuzi'(kushoto).
Hatimaye baba wa msanii wa filamu, Single Mtambalike ‘Richie’, amezikwa leo(jana) katika Makaburi ya Segerea Dar. Alifariki jana, Tabata, Dar.
PICHA ZOTE NA GPL

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
12 Oct 2014

Post a Comment

 
Top