
Naam, mmoja wa vijana aliepewa kazi ya kupima upepo ambaye ni mwanasheria wa CUF, anaangalia swala hili kisheria (ikumbukwe kuna makubaliano ya kisheria katika kuongoza SUK).Baadhi wamepewa angles tofauti na kutoa majibu mapema iwezekanavyo.Ili Mheshimiwa achukue uamuzi Mgumu haraka leo.Kama ikiwa ndio hivyo, kesho Media zote ni kujiuzulu kwa Sharif na si kupokeaji wa katiba My take: Kama karidhia yeye mwenyewe Mh.Maalim, na iwe hivyo ila kama ni kupata attention ya media tu siyo.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment