Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Liverpool wameng'aa mbele ya QPR huko Loftus Road,magoli mawili kati ya hayo QPR wakijifunga wenyewe.R.Dunne alijifunga goli dak. ya 67, kabla ya Vargas kuisawazishia QPR dak. ya 87,na dak. ya 90  akaifungia tena goli la pili, kabla ya  Philippe Coutinho kuifungia  goli Liverpool dak. ya 90 huku goli la ushindi la Liverpool lilfungwa na Caulker katika dakika za majeruhi. 

Matokeo ya mchezo mwingine uliochezwa leo Stoke City wameifunga Swansea City magoli 2 kwa 1.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top