Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Rapper Wakazi ndiye meneja mpya wa Lady Jaydee. Amechukua nafasi hiyo kutoka kwa Gadner G Habash..


Akizungumza na gazeti la Mtanzania Wakazi alikiri kwamba yeye ndiye meneja mpya wa Jaydee japo hakuwa tayari kueleza lolote kuhusu ndoa ya binamu yake Jaydee na Gardner kwa maelezo kwamba yeye si msemaji wao katika masuala ya mapenzi na ndoa yao.

“Mimi sijui chochote, maan


a nilipokwenda Marekani niliwaacha wakiwa wachumba, lakini nilipokuwa huko nikasikia wameoana, niliporudi nikawakuta tayari wapo katika ndoa na nimeanza kazi ya umeneja wa Jaydee si muda mrefu, hivyo sijui mahusiano yao ya ndani labda muwaulize wenyewe,’’ alisema Wakazi.
Bonyeza Hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top