
Timu ya taifa ya Algeria ndiyo timu
ya kwanza kujikatia tikiti ya kushiriki dimba la kombe la Afrika hapo
Januari mwaka ujao baada ya kuinyuka timu ya taifa ya Malawi mabao 3-0.
Bao
la kwanza lilifungwa baada ya dakika moja tangu mechi kuanza pale
mchezaji Yacine Brahimi alipopata pasi safi kutoka kwa Islam Slimani
pembeni mwa uwanja na kuvurumisha mkiki mkali ulioenda juu juu
nakutingisha wavu.
Riyad Mahrez anayeichezea klabu ya Leicester city katika ligi ya Uingereza, aliongeza bao la pila katika kipindi cha pili .
Hii ni baada ya kupata pasi nzuri kutoka kwa Sofiane Feghouli na kufunga kwa urahisi kabisa.
BONYEZA HAPA
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment