Haya tena wale wapenzi wa teknolojia hasa gajeti, leo Samsung wamezindua flagship yao kutoka familia ya Galaxy note ambayo inakwenda kwa jina la Samsung Galaxy Note Edge.
Simu hii ina kioo klichojikunja tofauti na flat screen tulizozoea, kwa sasa hii ndio highest end phone kutoka Samsung.

Note Edge ina sifa zifuatazo, inaelekea kufanana kiasi na ndugu yake Note 4. Yenyewe ina metallic design, It has the same soft-touch back, blissfully without the fake stitching. Ina kamera yenye 16-megapixel, heart-rate monitor, processor, memory, software, Multi Window feature, kila kitu kama ndugu yake note 4.

Kwa sasa hii ndio simu kutoka samsung yenye nguvu kuliko simu zote. Ina Quad HD, 2560 x 1440 display kama kwenye Note 4, Ila hii kioo chake ni kidogo kidooogo ambayo ni inchi 5.6 tofauti na 5.7 ya note 4.
Wakati huo huo
Sony nao wamezindua familia ya simu na tablet za Z3 ambazo ni xperia z3, z3 compact na Z3 tablet compact


-JF
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment