Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Rich Mavoko akiwapagawisha mashabiki ndani ya Leaders Club.

Mwanadada Vanessa Mdee akifanya vitu vyake stejini.
Rich Mavoko akiwarusha mashabiki na wimbo wake wa 'Roho Yangu'.
Vanessa Mdee na wanenguaji wake wakiwachizisha mashabiki wa Kili.
Mkongwe wa Hip hop nchini, Joseph Haule 'Profesa Jay' akifanya makamuzi ya hatari ndani ya Leaders Club.
Prof Jay akizidi kupagawisha.
Mwanamuziki Ommy Dimpoz na Vanessa Mdee wakikamua wimbo wao wa 'Me and U'.
Mwanamuziki wa RnB, Ben Pol akizikonga nyoyo za mashabiki wa Kili.
Mwimbaji wa Taarab, Khadija Kopa akiwapagawisha mashabiki waliofurika katika Viwanja vya Leaders usiku huu katika Tamasha la Kili Music Tour 2014 jijini Dar.
Mnenguaji wa Khadija Kopa akifanya yake stejini.
Nyomi iliyofurika katika Viwanja vya Leaders usiku huu.
Khadija Kopa akiwadatisha mashabiki wa Kili, Leaders Club.
(Picha zote na GPL)

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top