Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Pistorius amekana kumuua mpenzi wake kwa maksudi

Mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amewasili mahakamamni kujua umauzi wa kesi ya mauaji ya mapenzi wake inayomkabili.
Oscar Pistorius akiwasili mahakamani jijini Pretoria.

Jaji Thokosile Masipa ndiye anatayetoa uamuzi huo.
Pistorius huenda akafungwa jela miaka 25 ikiwa atapatikana na hatia ya kumuua mpenzi wake.



Oscar Pestorius amekana mashitaka ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp katika siku ya wapendanao ya Valentine hapo mwaka jana.
Oscar Pistorius akiwa na mpenzi wake Reeva Steenkamp.
Mwendesha mashitaka anasisitiza kuwa Pestorius alimpiga risasi aliyekuwa mpenziwe Reeva baaya ya ugomvi baina yao lakini amejitetea akisema alimpiga risasi kimakosa akidhani mwizi amevamia nyumba yake.
  • Bonyeza Hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top