April 9, 2025 06:54:03 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

HISIA! Mrembo aliyetinga hatua ya Tano Bora ya Shindano la Bongo Star Search (EBSS) 2013, Maina Thadei ameibuka na kuelezea hisia zake kuwa anateswa na penzi la staa wa Bongo Fleva, Asilahi Isihaka ‘Aslay’.

Mrembo aliyetinga hatua ya Tano Bora ya Shindano la Bongo Star Search (EBSS) 2013, Maina Thadei.  
Akizungumza na gazeti hili, Maina alisema kuwa ameshindwa kabisa kuzizuia hisia zake kwa bwa’mdogo huyo ambaye anatamba na wimbo wa Ya Moto na kusema yupo tayari kwa lolote.

“Kwa kweli ananinyima usingizi, namfikiria sana. Naanza kazi moja tu ya kumsaka na nikimkamata hatoki hapa kwangu, sitakubali,” alisema Maina.

Staa wa Bongo Fleva, Asilahi Isihaka ‘Aslay’.Pia mwanamuziki huyo aliongeza kuwa, atakapokuwa karibu na Aslay anaamini watatengeneza ‘kapo’ nzuri ambayo italeta ladha pindi watakaposhirikiana kimuziki.
Bonyeza Hapa 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
06 Sep 2014

Post a Comment

 
Top