Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Habari  za  leo  ndugu  wapenzi  wasomaji. Tunapenda  kuwafahamisha  kuwa, tumepewa  idhini   na mwandishi  pamoja  na  wachapishaji  wa  kitabu  cha “Mwanamke Msagaji Ameniambukiza Ukimwi“.




Habari  njema  kwako  ni  kwamba, kitabu  hiki  sasa  utakisoma  bure  kabisa  kupitia  blog ya  Ulimwengu Usioonekana.




Kusoma  kitabu  hiki  kuanzia  sura  ya  kwanza  hadi  ya  mwisho, tembelea :   http://www.mungwakabili.blogspot.com


Maelezo Mafupi kuhusu Kitabu :




Jina la Kitabu: Mwanamke Msagaji Ameniambukiza Ukimwi




Mwandishi : Restituta Mahauri


Idadi ya sura :  27
Mawasiliano ya mwandishi:   restitutamashauri@gmail.com


MAELEZO MAFUPI


Mwanamke Msagaji Ameniambukiza Ukimwi” ni kitabu kinachoelezea simulizi la ukweli la wanawawake wawili wa Kitanzania Zuwena   na Angel ambao wameambukizwa virusi vya ukimwi kwa njia ya kujamiiana na wanawake wenzao.

Bonyeza Hapa like page yetu

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top