Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
killRappa kutoka Mwanza ambaye msimu wa Serengeti Fiesta 2012 ulifanikiwa kumuwakia na kuwa mshindi wa kwanza kwenye mashindano ya Serengeti Super Nyota Young Killer leo amehusishwa tukio la kutoa mahari kimya kimya bila kumfahamisha mtu.
Mezani kwa Soudy Brown,Young Killer ameulizwa kuhusu madai hayo ambayo inasemekana mzazi wa msichana anayetajwa kuishi nae Halimaty alimwambia Young Killer kuwa kama asipotoa mahari atampiga ‘Allah Badili’
Young Killer alipopigiwa na Soudy Brown kadai yuko kwenye ndege anajiandaa kwenda Musoma kwenye Serengeti Fiesta hivyo ametakiwa kuzima simu na kuahidi atampigia baadae simu Soudy Brown.

Bonyeza play kusikiliza.
Bonyeza Hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top