
Majina ya wasanii wa Afrika watakaowania tuzo za MTV Europe, MTVEMA yametangazwa na Diamond ni miongoni mwa wasanii watakaowania tuzo hizo zitakazotolewa November 9 jijini Glasgow, Scotland. Diamond atachuana na Davido, Toofan wa Togo na Goldfish wa Afrika Kusini. Kwa mara nyingine tena Davido anachuana na Diamond kwenye tuzo kubwa baada ya ile BET Awards […]
Diamond Platinumz ni mmoja ya watu waliochaguliwa kugombania tuzo za MTV EMA Awards-Best African Act.
Msimu wa MTV EMA season is umewajia. Anbapo wasanii wanne wa kwanza wataogombania tuzo hizi kwenye category Best African Act ni Davido(Nigeria), Goldfish (South Africa), Diamond(Tanzania) na Toofan (Togo)
Pia, kwa mara ya kwanza , MTV imeweka upigaji kura mikononi mwa mashabiki kupitia mitandao ya kijamii kwahiyo wapenzi wa muziki popote wanauwezo wa kuongeza mtu wa tano kwenye category hii ya Best African Act. Mashabiki wanaweza ku- tweet na kupigia kura list hii ya wasanii ambapo mmoja wao ataongezwa kama msanii wa tano. Ukitaka kumuongeza msanii unatumia hashtag #MTVEMAplus ambapo wasanii waliochaguliwa ni
Anselmo Ralph – #NominateAnselmoRalph
Gangs of Ballet – #NominateGangsOfBallet
Mafikizolo – #NominateMafikizolo
Sarkodie – #NominateSarkodie
Sauti Sol – #NominateSautiSol
Tiwa Savage – #NominateTiwaSavage
Huu ni mwaka wa tano MTV imeweka kipengele cha Best African Act kwenye tuzo za ulaya – washindi waliopita ni 2Face[2005], Freshlyground [2006], D’Banj [2007 & 2012] and LCNVL [2013].
“2014 MTV EMA” itaonyeshwa LIVE kwenye kituo cha MTV siku ya jumapili tarehr 9 mwezi wa kumi ambapo itafanyika The Hydro jiji la Glasgow, Scotland .
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment