Habari iliyotufikia hivi punde Moto umezuka katika msikiti wa Mtambani kinondoni jijini Dar es Salaam na chanzo cha Moto huo mkubwa unaoendelea kuwaka katika majengo yaliyopo msikiti wa Mtambani Kinondoni inasemekana ni hitilafu ya umeme. Hii ni mara ya pili kwa msikiti huo kuungua kwa moto Agosti 13 mwaka huu.

endelea kuwa nasii kwa habari kamili
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro











Post a Comment
Post a Comment