Kumekuwa na habari mbalimbali kuhusu ujio huo wa Windows 9 (Operating System ya kampuni ya Microsoft) na picha mbalimbali zikionesha muonekano wa windows 9 ambayo pia inasemekana kutoka hivi karibuni mwishoni wa mwezi wa tisa.
Hata hivyo picha hizo zimeonesha kurudishwa kwa kile kinacho julikana kama "Start Button" katika Windows 9 ambacho kilikuwa kimetolewa katika Windows 8.
Tazama picha za Windows 9 zilizo zagaa mitandao ya Kiteknolojia
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro












Post a Comment
Post a Comment