Geita Tanzania; Nimepokea taarifa kutoka Mkoani Geita kwamba usiku wa leo majira ya saa 9 watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamevamia kituo cha polisi cha wilaya ya Bukombe na kuua askari wawili na kumjeruhi mmoja,
Bonyeza Hapa
Baada ya majambazi hayo kuwashambulia polisi na kuua, waliuvunja ghala la silaha, Wamepora silaha amabazo idadi zake hazijafahamika mpaka sasa.
Endelea kufuatilia hapa hapa...
Endelea kufuatilia hapa hapa...
Bonyeza Hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment