Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Pengine watu wengi wamekuwa wakitafuta ni jinsi gani wanaweza
kupendwa na wasichana au wanawake. Niwazi kabisa kila mwanamke anachaguo lake kwa mwanaume
ampendae.Huenda ukawa unavigezo kibao lakini akapendamweyevigezo vichache. Vifuatavyo ni vigezo 15 ambavyo wasichana wengi hupenda kutoka kwa mwanaume.
1. Kujiamini

2. Mcheshi

3. Mwenye utashi
4. Anayetoa msaada unapohitajika

5. Anaetunza siri

6. Mwenye kujithamini
7. Mwenye malengo / makini 8. Mwenye mawazo mapana

9. Muwazi na mkweli
10.Anayeridhika
11. Aliyeshupavu na jasiri
12. Mwenye huruma
13. Anaesamehe
14. Hadhi na heshima
15. Hisia ya uadilifu.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331

kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
  

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top