Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Nuh Mziwanda akiwa na mpenzi wake Shilole.

  Mapenzi ya Nuh Mziwanda na Shilole yaliripotiwa kuvunjika hivi karibu yamerudi kwa nguvu zaidi siku ya jana wamesambaza  picha kupitia account zao Instagram wakiwa pamoja kama ishara ya mapenzi yao kuongezeka zaidi. Nuh na Shilole wote waliweka picha instagram kuonyesha wamepatana na mapenzi yatadumu zaidi ya miezi kadha iliyotabiriwa.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331

kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
  

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top