MSHAMBULIAJI
wa kimataifa wa England, Wayne Rooney ametuliwa kuwa Nahodha wa kikosi
cha Manchester United na kocha Louis van Gaal.
Mholanzi huyo amevutiwa shughuli ya mpachika mabao huyo wa England
tangu aanze kazi Old Trafford na anaamini atakuwa chaguo sahihi kuwa
kiongozi wa wachezaji wenzake katika timu. "Kwangu, wakati wote muhimu
chaguo la Nahodha," amesema Van Gaal katika tovuti ya klabu hiyo.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:-
0712483331.
Like ukurasa wetu wa facebook ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment