Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


 Picha: Kim Kardashian awatega polisi, wamtupia macho kiwiziwiziNiliwahi kusikia jamaa mmoja akisema kuna baadhi ya wanawake hupendeza zaidi wanapojifungua. Kim Kardashian anaweza kuwa sehemu ya ushahidi wa alichokisema huyu jamaa.
Mama North West amewatoa polisi wa New York katika umakini wa kulinda na kuanza kumtupia jicho kwa wizi wizi huku kamera za paparazzi zikilinasa tukio hilo.  
Kivazi chake na mwendo wa pozi vilichangia hasa kuwahamisha polisi hao katika ‘lindo’ kisaikolojia. Macho hayana pazia.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0712483331. 
Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top