Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Wimbo Mpya: Maumivu -Roma Mkatoliki & Bob Junior  Collabo iliyotokana na ubishi wa soka imekamilika katika studio za Sharobaro Records kati ya rapper wa Tongwe Records ‘Roma Mkatoliki’ na Bob Junior. Wimbo unaitwa ‘Maumivu’.
Roma  ilimbidi aende na producer wake wa Tongwe ili kuhakikisha utambulisho wake haupotei kwenye mdundo.
Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa


Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top