Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Binti wa miaka  11 mwenye asili ya kihindi ameonekana kuwa na hali ya maisha tofauti baada ya kumfanya nyoka kuwa kama ndio rafiki yake,mtoto huyu anye miliki nyoka aina ya kobra ambaye nyoka huyo hugonga na kumng'ata mara kwa mara lakin cha ajabu ni kwamba mtoto huyu amekuwa hasiki kabisa juu ya swala lake la kumwacha nyoka huyo na bado akiendelea kumpa matunzo kama chakula na hata kufikia hatua ya kulala naye kabisa katika kitanda kimoja..
Mtoto huyo anayejulikana kwa jina la Kajol Khan alihojiwa na mtandao wa daily mail na ailikuwa na haya ya kusema 
 
“I have a lot of fun with the cobras. It hurts when they bite me, but sometimes it’s my own fault because I tease them. It’s quite
funny
.”
 Picha zingine za mtoto huyu akiwa na nyoka wake ziko hapa chini...!

UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0712483331.
Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa   
 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top