Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg7mbCo0JNHCLI2gtDWInnihzfuEEjBd0GrHqwZz9l-5Rt5mUm6QNQYiwh7flUBF77AZpTxIDVAegt5gKOx-IfCMxOEpk_gM4pzpnjQYO9RkMHmcYo4EVRWaPO06Qg0ZAklAJ9aU-tw24E/s640/origino_komedi.jpgHakuna ubishi kua miaka michache iliyopita kund la Orijino Komedi ndio lenye mashabiki wengi hapa nchini.
 
 Ilikua ikifika mda wa kurushwa kipindi kila mtu alikua hangoki Katika TV yake. Umaarufu  wao uliongezeka zaid pale walipohama EATV na kuhamia TBC.
 
Umaarufu wao uliendelea kuwepo hadi siku zq karibuni ambapo ulishuka kwa kasi sana, taarifa ambazo Bongoclan tumezipata ni kua kwa sasa kundi  hilo limevunjika na kila mtu anafanya kazi kivyake. Chanzo chetu kutoka kituo cha
TV
walichokua wakifanya kazi kiasema kua kwa sasa kila mtu ana hamsini zake na hawafanyi kazi tena pamoja
>>>>Chanzo blogu ya wananchi
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0712483331.
Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa   
 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top