Dereva ambaye alikuwa akiendesha basi linalowabeba wachezaji wa Yanga, Maulid Kiula, amefariki dunia.
Kiula amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa siku kadhaa na Meneja wa Yanga, Hafidh Saleh amethibitisha hilo.
Bado
haijaelezwa mipango ya mazishi, lakini mashabiki wanaweza kumkumbuka
zaidi kupitia tukio la yeye kujeruhiwa wakati mashabiki
walipolishambulia basi la Yanga kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya
wakati wa mechi ya Ligi Kuu Bara.
Mungu aipumzishe roho ya mwanamichezo huyo.
AMINA.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:-
0712483331.
Like ukurasa wetu wa facebook ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment