MREMBO kutoka nchini Kenya Huddah Monroe, ameendelea kutupia picha zake za 'utupu' kupitia mtandao wa
Instagram
kama kawaida yake.
Staa
huyo ambaye kwa sasa yupo Abuja nchini Nigeria ametupia picha zake
akijiachia na mavazi ya kuogelea huku nyingine akiwa na mwenzake.

UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:-
0712483331.
Like ukurasa wetu wa facebook ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapaFacebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment