Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


 
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Winfrida Josephat 'Rachel' akitoa burudani katika Tamasha la Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo, Bukoba.
 
Rachel akiendelea kutoa burudani.
 
Mashabiki waliojitokeza katika Serengeti Fiesta usiku wa kuamkia leo Bukoba.


 
DJ Fetty akifanya yake.
  
Msanii wa muziki wa asili Saida Karoli akiwanyanyua mashabiki wake.
 
Mtoto wa Saida Kaloli akicheza ngoma.
 
Staa wa Bongo Fleva, Jux akiimba wimbo wake mpya wa Nitasubiri.
 
Dogo anayekimbiza kwenye muziki wa Hip Hop Bongo, Young Killer akiwaimbisha mashabiki.
 
Msanii wa Super Nyota 2013, Kessy Style  akishambulia jukwaa.
 
Staa aliyetambulika zaidi kwa wimbo wake wa Maumivu, Khadija akiangusha shoo yake.
 
Rais wa Manzese, Madee akikaporomosha mashairi ya ngoma yake mpya ya Ni Sheeda.
 
Mkali wa ngoma ya Muziki Gani, Nay wa Mitego akiwasikilizia mashabiki wanavyoitikia nyimbo zake.
 
Staa wa Hip Hop, Stamina akifanya yake jukwaani.
 
Msanii wa Bukoba, Shomile naye alipata bahati ya kuamshaamsha burudani.
 
Jackson Mmbando akiwa katika pozi na Madee (kushoto).
(PICHA NA MUSA MATEJA/GPL, BUKOBA)
Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyeza hapa



Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top