Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


dozen n son
Inawezekana umefahamu mengi sana kuhusu mtangazaji wa radio Hamis Mandi aka B-12 aka B-DOZEN wa kipindi cha XXL cha clouds FM huenda ulikuwa hufahamu kuwa ni baba au hujawahi kumuona mtoto wake.

Kupitia Instagram Dozen ameamua kushare na mashabiki wake picha ya mtoto wake wa kiume.mtoto wa dozen
''My son is cool like that...'' ameandika Dozen katika caption ya picha hiyo (juu)
  • Bonyeza Hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top