MKALI wa
Bongo Fleva, Emanuel Elibariki maarufu kama Nay wa Mitego, amesema kuwa
aliwahi kushuhudia staa mmoja wa filamu Bongo (jina tunalo) akijiuza
kwa mgeni mmoja kutoka nje ya nchi na kwamba tukio kama hilo aliliona
zaidi ya mara
Msanii wa Bongo Fleva, Emanuel Elibariki maarufu kama Nay wa Mitego akipozi.
Msanii wa Bongo Fleva, Emanuel Elibariki maarufu kama Nay wa Mitego akipozi.
Akizungumza na gazeti hili mapema juzi,
Nay mkali wa nyimbo za Nakula ujana na Muziki Gani, alisema mabinti
wengi wanacheza filamu siyo kwa ajili ya kujikwamua kimaisha, bali
wanafanya hivyo ili kuuza sura ambayo baadaye huitumia kwa ajili ya
kujiuza ili kujiingizia kipato“Mimi
kila kitu ambacho huwa ninakiimba huwa kina ukweli ndani yake na niko
tayari kwa mtu ambaye atahisi nimemuonea tutafikishana popote pale,
nilishawahi kushuhudia mabinti wa bongo movie wakinunuliwa na wageni
wanaokuja kutoka nje ya nchi,” alisema Nay.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment