Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Screen Shot 2014-08-19 at 1.36.09 PMGazeti la Tanzania Daima August 19 2014 limeripoti kwamba Mwenyekiti wa bunge la katiba Samwel Sitta sasa hivi ameongezewa ulinzi ili kuhakikisha anakuwa salama zaidi kila anapokwenda.
Kaongezewa walinzi wawili wanaokuwa nae kila anakokwenda lakini pamoja na hilo, ameongezewa gari jingine ambalo linatumika kumbeba mmoja wa Walinzi wake.
Screen Shot 2014-08-19 at 1.36.49 PMKwenye moja kati ya sentensi nyingine kubwa kutoka kwenye Magazeti ya Tanzania leo August 19 2014, ni hii ya gazeti la Uhuru inayosema Mtandao hatari wa kusafirisha Watoto kwenda nje ya nchi umebainika baada ya Polisi kuzima jaribio la kutoroshwa Watoto 13 mkoani Tanga.
Watoto hawa walikua wakivushwa kwenda Kenya na hata wazazi wao hawakuwa na taarifa huku ikiripotiwa walikua wakipelekwa kwenye kituo cha Kiislam kutumikishwa nchini humo.
Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyeza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top