Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mtu mmoja ambaye hakuweza kufahamika mara moja ameuwawa kikatili kisha mwili wake kuchomwa moto na watu wasiofahamika  katika eneo la mkundi manispa  ya Morogoro.
 
Kwa mujibu wa wananchi walishuhudia tukio hilo  wamesema wameshuhudia kundi la madereva wa pikipiki wakimshusha mtu huyo kisha kummwagia mafuta ya taa na kumchoma moto ambapo wameomba jeshi la polisi kufuatilia tukio hilo walohusika wachukuliwe hatua.

Wananchi wakazi wa  kata ya mkundi  wamesema hilo sio tukio la kwanza kutokea kwa watu kuuwawa na kisha kuchomwa moto na kuomba vyomba vya sheria kufanya kazi zake kwani huenda matukio hayo yanatokana na watu kuchoshwa na baadhi ya matukio ya wizi ambayo watuhumiwa huachiwa huru na vyombo vya sheria pasipo kuchukuliwa hatua.
 
Jeshi la polisi limethibitisha kutokea kwa  tukio hilo .
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0712483331.
Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top