Huyu
ni mtoto mwingine mwenye umri wa miaka 4 mkazi wa Tandale mtaa wa
Muungano ambae siku ya Jumatatu wiki amebakwa na jemba lenye umri wa
miaka 42. E-fm radio ambayo imekuwa karibu na jamii kwa 100% Jana
jumatano ilikuwa na mahojiano ya moja kwa moja toka eneo la
tukio na hata hivyo kituo hicho cha radio kimelaani vikali matukio ya
aina hiyo na kulishauri jeshi la polisi nchini kuwachukulia hatua kali
za kisheria wale wote wanafanya ukatili huu kwa watoto.
CREDIT: 93.7 EFM RADIO
CREDIT: 93.7 EFM RADIO
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro








Post a Comment
Post a Comment