Kijana
huyo ambaye jina halijafahamika akiwa amefariki baada ya Kuchomwa kisu
na mwenzake kisa madai ya Tsh 5000 tuu Tukio tulilopokea muda mchache
uliopita mtu mmoja ambaye jina lake halijafahamika amemuua mwenzake kisa
walikuwa wanaiana Shilingi Elfu tano... Tunaendelea kufuatilia tukio
zaidi .. endekea kufuatilia hapa hapa.
Mamia ya watu wakiwa wanashuhudia tukio hilo.
Picha na Iringa yetu Blog
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro









Post a Comment
Post a Comment