Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Producer wa Classic Sounds, Mona Gangster amesema msanii wake Young Killer amebadilika kama wimbo wake mpya ‘Umebadilika’ ulivyo.
Young Killer na meneja wake, Mona G Akiongea na SamMisago.com, Mona amesema kuna watu waliompa maneno ya sumu rapper huyo wa ‘Dear Gambe’ na sasa hamheshimu tena.
“Young Killer amebadilika,amekuwa maarufu na, bado nina mkataba na Young Killer mpaka December 2014 ila anaukiuka mkataba huu kwa kwenda kufanya kazi studio zingine na sasa hata Classic Sounds hafiki,” amesema producer huyo.
“Classic Sounds haimbani msanii ila akitaka kufanya kazi nje ya studio hii ni lazima tubaki kama Executive Producer wa kazi hio ilituhakikishe kiwango cha kazi ni bora, Young Killer amefanya kazi nje ya studio bila taarifa wakati mkataba wa Classic Sounds hauruhusu hicho kitu.”
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0712-483 331

kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top