Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This






Kijana aliyegongwa na bodaboda na kuvunjika mguu wa kulia akiwa amelala chini katika Manispaa ya Musoma mkoani Mara.Bodaboda iliyotelekezwa na dereva wake baada ya kumgonga kijana huyo ikiwa eneo la tukio.
AJALI hii  imetokea jana majira ya saa 9:45 mchana katika Manispaa ya Musoma mkoani Mara baada ya bodaboda kumgonga kijana mmoja ambaye hakujatambulika jina lake mara moja  na dereva wa bodaboda kukimbia na kuacha chombo chake .
Picha kwa hisani ya global whatsapp 
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331 
 
  kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
 

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top