Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Msanii wa bongo flave lina sanga masaa mawili yaliyopita amepost picha instagram ikimuonyesha yupo beach lakini nguo aliyovaa ikiwa inaonyesha hadi chup*** yake aliyovaa miongoni mwa mashabiki wamefurahia na wengine wameboleka sana na kuamua kumchana live hapo chini ni baadhi ya comment za fan wake.

Wilbatyamisa Unajizalilisha Dada angun siyo wa kuvaa hivyo. Umeboa

Marimmwakalinga11 Cjapenda best ur xo cuty but hilo vazi bad!!!

Annanold Hata kama ndio uzungu jamani ....Tako nje! Hapana bwana 

Kipazalishuka sheeeeda!

Scolaenna Chupi ileeeeeeeeee!

Ziggydedon bongo kweli ulaya

Gracevenance Hata kama ni beach ndo uvae hivo kweli? Nyie vioo vya jamii mmezidi bana halafu mtu akikwambia ukweli mnamind na hao wafuasi wenu. Hebu jiheshimu na watu tutakuheshim bana, heshima haiuzwiiiii

Boazanna28 asa si ungetoa tu kinguo cha juu ili ulimwengu wajue kuwa umeumbika mxiuuuuuuu

Ashakhamisi41 Mh jamani hii dunia imeisha kwa hiyo kama anakaka zake na wao wanaona

adelterpaulsupertall Mi nakupenda lina ila ulivovaa leo

ishairl kama kutembea uchi ndo kupendeza poleni

mwanajmax mmmmh chup yote nje

mursalthebest upumbavu tu na ujinga
  • Bonyeza Hapa




Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top