
Video
model Agnes Masogange mwaka jana alitawala vyombo vya habari baada ya
kukamatwa na polisi huko South Africa akiwa na mwenzake Melisa Edward
wakiwa na mzigo wa Crystal Methamphetamine wenye thamani ya Tsh bilioni
6.8.
Taarifa
mpya kutoka kwa kamanda wa polisi kitengo cha kuzuia na kupambana na
dawa za kulevya Gedfrey Nzowa inasema kikosi hicho kilimshikilia
Masogange usiku wa juzi baada ya kurejea akitokea South Africa. Taarifa
inasema kwamba Masogange alihojiwa kwa zaidi ya masaa 10 na kupekuliwa
na baadae kuachiwa hutu bila masharti.
Masogange
alivyotafutwa kwenye simu alijibu kwa kifupi na kusema,”Hilo unalosema
siyo kweli na sipo tayari kuzungumzia. Siwezi kuzungumza na chombo cha
habari kwa sasa, shida yako nini”.
Source : Mwananchi
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
Post a Comment
Post a Comment