Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


MSANII WA MUZIKI WA TAARAB AFRIKA MASHARIKI, KHADIJA OMARY KOPA AMEWACHANA MASTAA WA KIKE WASIOHESHIMU WAUME ZAO KWA USUPASTAA WAO, AKISEMA SUALA HILO LIMEWAFANYA WASHINDWE KUDUMU KATIKA NDOA ZAO.
Malkia wa muziki wa Taarab Afrika Mashariki, Khadija Omary Kopa.
Malkia huyo alitoa dongo hilo juzikati wakati alipokuwa akipagawisha mashabiki wake katika ukumbi wa Meeda uliopo Sinza Mori jijini Dar alipokuwa jukwaa moja na bendi ya Extra Bongo, akiimba nyimbo zake mbili za Fahari ya Mwanamke na Full Stop.
“Mwanamke unajiona staa mbele ya mumeo kisa supastaa, eti inafikia hatua  hadi unaachika! mwanamke unapaswa uwe na heshima kwa mumeoeeee!”alisema mkali huyo na kuitikiwa kwa shangwe na mashabiki wake kibao waliokuwa wakimshangilia kwa nguvu.
Bonyeza Hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top