Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

  • Sweetberth Sezalius Acha kumfanya Yesu Ukuta wa kujiegamia yeye hakuwa binadamu wa kawaida kama kuani wewe Mzinifu Tapeli wa mapenzi Fisadi wa aki za mwanao Via mbele wewe ukemeshaoza
    Like · Reply · 5 · 2 hours ago
    • Flora Mbasha's Music hata yesu walisema hivyo hivyo ingawa alikuwa kuhani, bado hawakumwamini, na hata alipofufuka walisema ameibia,, sasa mimi ni nani nisisemwe.. yesu alisema duniani mnayo dhiki jipeni moyo, pia akasema kama waliwaudhi manabii wa zamani msistaajabu ulimwengu ukiwachukia na ninyi
  • Mtasingwa Kitula Nilikuwa nakuheshimu na kuthamini kazi yako kumbe we ni wakala wa shetani na umezalilisha walokole wote kwa kuzini nje ya ndoa kisa pesa kweli we mama umelaaniwa na ninakuchukia cna
    Like · Reply · 7 · 3 hours ago
    • Flora Mbasha's Music usihukuku usije ukahukumiwa wewe, kuna watu wengi hawataingia mbinguni kwa kuhukumu wasio na hatia.. maneno ya kusikia sikia sio ya kushadadia ni bora uone mwenyewe kwa macho.. lakini hata hivyo ninashukuru kwani kila mmoja anahisia zake sio kosa lako, ila naamini hata wewe ulishakutwa na majanga ya kusingiziwa kama yalivyonikuta mimi.

  • Nsabi Adipunaga Kwema dada mpendwa katika kristo na swali dogo eti hizi tuhuma zinazoendelea kusikika nikweli unamimba ya mchungaji wako Gwajima? Je kama nikweli unajionaje umesaliti ukristo na mmeo au unawaambiaje washabiki wako na watanzania kuhusu hizi tuhuma
    Like · Reply · 5 · 3 hours ago
    • Flora Mbasha's Music kama nina mimba basi ni ya mume wangu, nimekaa kwenye ndoa miaka12 cjawahi kuisaliti ndoa yangu, kwa nini leo...? sina mahusiano na mwanaume yeyote zaidi ya mbasha na sina mpango huo
  •         Gzzie HQ Ulianza lini kujichubua?
               Like · Reply · 2 · 3 hours ago
    • Flora Mbasha's Music sijawahi kujichubua rangi niliyonayo ndiyo niliyopewa na Mungu tangu nikiwa tumboni mwa mama yangu, na kama ningetaka kujichubua ningefanya hivyo kwani kila mtu ana uhuru na mwili wake ila unatakiwa tu kuangalia madhara unayoweza kuyapata kutokana na unachokifanya.
      Like · 2 · 2 hours ago

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

Top