Jokate
aliwahi kukiri kwamba aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Diamond
kwa muda usiozidi miezi miwili ambapo wakati yuko na Diamond zilitoka
stori nyingi pia kuhusu uhusiano wa Wema na Jokate kuingia matatizoni.


Ni
stori ambazo ziliandikwa sana na inawezekana mpaka leo watu wengine
walikua wanaamini Jokate na Wema hawawezi kukaa meza moja ila Aug 9 2014
Wema Sepetu baada ya kuwasili Mwanza kwa ajili ya show ya Serengeti
Fiesta 2014 baadae CCM Kirumba amepost hii picha.
Wakiwa
kwenye ndege ya Fastjet Wema na Jokate wakitokea Dar es salaam walipiga
selfie ambayo Wema ameipost kwenye instagram page yake na kuandika hayo
maneno hapo chini akimaanisha wako poa sasa hivi.

UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment