
Maafisa wa matibabu katika
eneo la Gaza wanasema kuwa zaidi ya wapalestina 100 wameuawa na
makombora ya Israel tangu kukiukwa kwa makubaliano ya kusitisha vita
siku ya ijumaa.
Vifo vingi vimetokea katika eneo la Rafah kusini
mwa Gaza ambapo wanajeshi wawili wa Israel waliuawa na mwengine wa tatu
kudaiwa kutekwanyara baada ya kuvamiwa na wapiganaji wa Hamas.
Gaza
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:-
0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment