Diamond anakwenda mwanza kwenye show ya serengeti fiesta itayofanyika leo kwenye uwanja wa CCM kirumba.

Kulikuwa na taarifa kuwa Diamond atakuwepo kwenye Tamasha la Simba day leo jumapili pale uwanja wa Taifa kupitia ukurasa wake wa facebook amekanusha kwa kuandika
Kunataarifa Nazidi Kuziskia zikitangazwa kuwa Eti kesho nitakuwa Uwanja wa Taifa kwenye hafla ya Team Ya Simba....SI KWELI!!! NI UONGO!!! Kesho Nitakuwa MWANZA CCM Kirumba kwenye Tamasha la FIESTA!...
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment