
Ramsey akimalizia klosi iliyopigwa na Mathie Debuchy na kumgonga Julian Speroni na kumfikia kiungo wa Arsenal na kutupia nyavuni katika dakika 90 + 2 ya mchezo.katika mchezo huo Crystal palace ndio iliyoanza kujipatia bao lake la kwanza kupitia kwa beki wake mrefu Hangeland akimalizila mpira uliopigwa kona dakika ya 35 dakika za nyongeza kabla ya mchezo kwenda mapumziko beki wa Arsenal Koscielny 45+1’) akaisawazishia timu yake goli mpaka kipindi cha kwanza kinaisha walikwenda wakiwa sare ya moja moja.
Aaron Ramsey vs. Crystal Palace: Shots 3, goals 1, pass accuracy 86%, tackles won 100%.

kipindi cha pili cha mchezo timu zote zilifanya mabadiliko lakini mabadiliko hayo yaliwanufaisha zaidi Timu ya Arsenal kwani katika dakika 5 za nyongeza kiungo wake Aron Ramsey aliipatia goli timu yake na kuondoka na pointi 3 kwenye mchezo huo wa ligi kuu soka nchini uingereza.

vikosi vya leo vilikuwa kama ifuatavyo
Arsenal: Szczesny, Debuchy, Gibbs (Monreal 53), Arteta, Chambers, Koscielny, Sanchez, Ramsey, Sanogo (Giroud 62), Wilshere (Oxlade-Chamberlain 69), Cazorla
Substitutes not used: Rosicky, Oxlade-Chamberlain, Martinez, Campbell, Coquelin
Scorers: Koscielny 45; Ramsey 90
Booked: Chambers, Cazorla
Crystal Palace: Speroni, Kelly, Ward, Jedinak, Dann (Delaney 74), Hangeland, Puncheon, Ledley, Campbell (Gayle 85), Chamakh, Bolasie (O'Keefe 90)
Substitutes not used: McCarthy, Hennessey, Murray, Bannan
Scorer: Hangeland 35
Booked: Puncheon, Kelly, Chamakh
Sent off: Puncheon
Referee: Jonathan Moss
Attendance: 59,962
Like ukurasa wetu wa facebook ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu bonyeza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment