
Uhamisho wa pauni milioni 8.5 wa Loic Remy, 27, kutoka QPR kwenda Liverpool umeshindwa kukamilika.
Liverpool
hawataki kusema kwanini uhamisho huo umeshindikana, lakini inasemekana
huenda mchezaji huyo ameshindwa kupita vipimo vya afya.
Liverpool walipanga kumpa jezi namba 7 kama mkataba ungekamilika.
Remy sasa huenda akalazimika kurejea QPR.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment