
Soko la filamu nchini kenya limekuwa kwa kasi ya ajabu kutokana na Filamu wanazozifanya zikiwemo hata zile za wakubwa sasa hivi karibuni baadhi ya mastaa kutoka kenya kama Naomi Ng’ang’a pamoja na Kalekye Mumo wameungana na kufanya kufuru wao wanaita Sey Commedy unaweza kutizana behind the scene hapa.






Post a Comment
Post a Comment